Uliikosa hii?? itazame hapa, wanawake na changamoto za marejesho

Prisca ameandika kitabu kinaitwa Wanawake na changamoto za marejesho,hii ni baada ya kuona changamoto wanazozipata wanawake wengi kwenye marejesho baada ya kuchukua mikopo,na haya ndiyo anayo wasihii wanawake wote.

Wanawake wengi wamekuwa wakifanya biashara zinazofanana lakini huyu amebuni kitu cha tofauti na kuwahamasisha wanawake kuwa wabunifu.

Wanawake wengi wamekuwa wakifanya biashara zinazofanana lakini huyu amebuni kitu cha tofauti na kuwahamasisha wanawake kuwa wabunifu.

Wanawake wengi wamekuwa wakifanya biashara zinazofanana lakini huyu amebuni kitu cha tofauti na kuwahamasisha wanawake kuwa wabunifu.

Wanawake wengi wamekuwa wakifanya biashara zinazofanana lakini huyu amebuni kitu cha tofauti na kuwahamasisha wanawake kuwa wabunifu.

Kama uliikosa hii itazame hapa,mwanamaa aliyeamua kujikita kwenye ufundi wa kupaka rangi za nyumba.

Mabinti wengi huwa hawapendi kujishughulisha na kutegemea wanaume au kusubiri kuletewa,lakini Ummy yeye kaamua kujishughulisha na kujikita kwenye ujasiriamali.Tujifunze kutoka kwa Ummy.

Sehemu ya pili ya Faustina Urasa akiendelea kusimulia jinsi alivyo pambana na changamoto baada ya ajali iliyomsababishia ulemavu na kuwasihi wanawake kutokukata tamaa.

Faustina Urasa ni mwanamke jasiri ambae alipata ajali miaka 16 iliyopita na kupooza hali iliyompelekea kushindwa kutembea kabisa,lakini amepambana na kuweza kupiga hatua.

Hii ni sehemu ya pili ya binti Wakonta Kapunda binti ambae alikutana na changamoto kubwa sana,alipata ajali nakupooza mwili mzima lakini hakukata tamaa.

Tazama Video ya Neema Mwita Mwanamke aliyepitia ukatili wakumwagiwa maji ya moto na Mume wake na hapa ni baada ya Wanawakelive kumsaidia kumtoa katika Hospital ya Musoma na kumleta katika Hospital ya Muimbili tazama video hapo chini

Haikua Rahisi kumfikia binti Wakonta Kapunda kama nilivyodhani kabla,ushujaa na kutokata tamaa vilivaa,kupata ajali na kuharibika kwa vifaa vyote ya production kwangu ilikuwa kama motisha ya kuendelea na safari katika hali yoyote ile,kuteguka kwangu mkono na kulitelekeza gari porini ilikuwa ni ha

 • Wakonta Kapunda shujaa wetu

Haya ndio maneno ya Mama Msagati mjasiriamali anayetengeneza sabuni za maji baada ya kusaidiwa na kampeni ya MWANAMKEPIGAKAZI ilivyoboresha bidhaa yake na kuitangaza bila kumdai pesa yoyote yani bureee,tazama video yake hapo chini kisha share na wajasiriamali wezako na mjitokeze kwenye kampeni ya

Kampeni Ya Mwanamke Piga Kazi Iliyofanyika Mbagala (Darlive) Tarehe 23/4/2016.Kulikuwa Na Fursa Nyingi Sana Kutoka EQUITY BANK Na Mfuko Wa Mafao PSPF.

 • Wanawake Walihudhuria Kwa Wingi Sana Katika Kampeni Ya Mwanamke Piga Kazi,Ili Kupata Mafunzo Mbalimbali Ya Kuweza Kuimarisha Biashara Zao Na Kuinua Uchumi Katika Jamii Yetu.
 • Mama Msagati Ni Mfanyabiashara Anaetengeza Sabuni Ya Maji Na Kuuza Ili Kukidhi Maisha Yake Ya Kila Siku,Pia Ni Mmoja Katika Wahudhuriaji Wakubwa Katika Kampeni Za Mwanamke Piga Kazi.Mara Hii Aliweza Kubahatika Kusaidiwa Namna Gani Ya Kuitangaza Biashara Yake,WanawakeLive Kupitia Kampeni Ya Mwanamke Piga Kazi, Waliweza Kumsaidia Mama Huyo Kupata LOGO Na Vifaa Maalum Vinavotoka Viwandani Kwa Ajili Ya Kuhifadhia Bidhaa Yake Kuwa Na Muonekano Na Kuifanya Biashara Yake Kujulikana.
 • Mwanamke Mjasiriamali Kama Huyu Ambae Bidhaa Zake Zimekamilika Kwa Kila Kitu Na Zinajulikana.WanawakeLive Kupitia Kampeni Ya Mwanamke Piga Kazi, Hutoa Msaada Wa Kumfanyia Mwatangazo Sehemu Mbalimbali Ili Biashara Yake Kujulikana Zaidi Na Kupata Wateja Wengi.

Baada Ya Kushuhudia Matatizo Mengi Katika Mahusiano Ya Kimapenzi (Ndoa)Wanawakelivetvshow Wakaona Ni Vizuri Kumtafuta Mwanasaikolojia CHRISS MAUKI Ili Atuelezee Ni Nini Hasa Chanzi Cha Matatizo Hayo.

 • ChrissMauki,Akielezea Jinsi Gani Ya Kuepukana Na Na Kutatua Matatizo Hayo.
 • Je Ni Kwanini Wanaume Hupenda Wake Zao Waonekane Na Heshima Kwa Kuvaa Mavazi Makubwa Huku Wakitamani Mavazi Mafupi Wanayovaa Wanawake Wengine Huko Nje? Usikose Kufatilia Kipindi Cha Wanawakelivetvshow.

Elizabeth Michael maarufu kwa jina la Lulu kwa sasa ni habare nyingine kwenye sekta ya filamu Tanzania baada ya kunyakua Tuzo huko Nigeria na kuwabwaga mastaa wa nchi zilizoshiriki kwenye Tuzo hizo.

 • Akiwa kwenye kipindi hiki cha Bongo Movies atazungumzia tasnia ya filamu pamoja na malengo yake katika kukuza sekta bila kusahahu maisha yake binafsi....
 • Kipindi kinakujia hivi punde endelea kuwa jirani nasi....
 • The Bongo Movies Team katika picha na malkia wa Filamu za Tanzania Lulu....

Baada ya mapumziko ya muda mrefu, kipindi chako cha BONGO MOVIES kinarejea tena kwa kasi ya dege la Obama...

 • Faiza Ally akiwa na Staring wa kipindi ndani ya studio za BONGO MOVIES....
 • Starring is back..... Make up ya kibongo movie vepeeeeeeeee
 • Stay conected kwa kipindi cha kijanja cha filamu hapa Bongo.....

Mkutano wa pili wa Mradi wa WEKEZA umeendelea katika hotel ya Land Mark Ubungo.

WEKEZA ni Mradi maalumu wa kuihamasisha jamii ku-WEKEZA Elimu bora kwa mtoto badala ya Ajira.

 • Tumefanya kipindi na mashika yanayotekeleza Mradi Korogwe Tanga
 • Wadau toka Kigoma
 • Wadau toka Kigoma na Tanga katika mahojiano na kipindi cha Wanawakelive

Tumekuwa tukifanya uhamasishaji kwa jamii juu ya ku-WEKEZA Elimu kwa watoto badala ya Ajira katika maeneo mengi ya jamii yetu.

Mradi huu umeelekezwa kwenye mikoa ya Tanga na Kigoma.

Mrandi ni wa miaka minne na sasa tayari miaka mitatu imeshaisha umebaki mwaka mmoja.

Timu ya WANAWAKELIVE tukishirkiana na timu ya Kiwohede katika project ya WEKEZA, tulitua baadhi ya maeneo ya Tanga mjini na vijijini kuendeleza harakati za kukuza uelewa wa jamii kupinga utumikishwaji kwa watoto na ba

WANAWAKELIVE: Kampeni ya MWANAMKE PIGA KAZI baada ya uzinduzi uliofanyika viwanja vya leaders Kinondoni jijini Dar es salaam, Mkoa wa Pwani Kisarawe wamepata bahati ya kuwa wa kwanza kupata mafunzo ya Fedha mara baada ya uzinduzi wa k

 • Baada ya salam sasa utangulizi mfupi sambamba na utambulisho kwa wana-Kisarawe.......
 • Nanchoke J. Chinchibera Afisa maendeleo ya jamii wa halmashauri ya wilaya ya Kisaware akiwasalim wana-Kisaware, na kutoa nasaha jinsi wanavyoshirikiana na wanawake wa Kisarawe

WANAWAKELIVE; Waziri wa ofisi ya raisi utumishi na utawala bora Mh; Angellah Kairuki alitoa nasaha zake kwa akina mama kabla ya kuzindua rasmi  kampeni ya MWANAMKE PIGA KAZI iliyofanyika viwanja vya Leaders manispaa y

 • Aidha Mkurugenzi wa mfuko wa wanawake Tanzania -WFT Mama Mary Rusimbi katika sherehe za uzinduzi wa kampeni hii, alitoa rai kwa wanawake kutambua haki zao, kuto kukubali kunyanyasika wala kudhalilishwa kwa rushwa ya ngono badala yake mwanamke ajikite katika njia sahihi za uzalishaji mali.

Pages